Posts

Showing posts from November, 2020

DKT MATARAGIO: TPDC TUMEYATUMIA MASHINDANO YA SHIMUTA KUJITANGAZA YAMEKUWA NA TIJA KUBWA

Image
  MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) Dkt James Mataragio  akizungumza na wachezaji wa timu za shirika hilo ambazo zinashiriki kwenye michuano ya Shimuta inayoendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali mjini hapa. MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) Dkt James Mataragio  kulia akiwa na Katibu wa Michezo wa Shirika hilo Elinaike Naburi wakiwasikiliza watumishi wa shirika hilo ambao ni wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya Shimuta Jijini Tanga Mmoja wa wachezaji wa timu ya TPDC akichangia jambo wakati wa kikao hicho na Mkurugenzi wa TPDC Dkt James Mataragio ambaye hayupo pichani Mmoja wa wachezaji wa timu ya TPDC akichangia jambo wakati wa kikao hicho na Mkurugenzi wa TPDC Dkt James Mataragio ambaye hayupo pichani Sehemu ya watumishi wa TPDC ambao wanashiriki mashindano ya Shimuta Jijini Tanga wakimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika hilo Dkt James Mataragio Sehemu ya watumishi wa TPDC ambao wanashiriki mashi...

KATIBU MKUU KUSAYA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI

Image
  Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao Wizara ya Kilimo Bwana Enock Nyasebwa wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya Wakaguzi wa Afya ya Mimea kutoka katika mikoa 18 ya Tanzania Bara. Mafunzo hayo yaliendeshwa katika majengo ya Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mkoani Morogoro na yamemalizika leo baada ya kuwatunuku Vyeti kwa Washiriki 32 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akisisitiza jambo kulia kwake ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao Wizara ya Kilimo Bwana Enock Nyasebwa wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya Wakaguzi wa Afya ya Mimea kutoka katika mikoa 18 ya Tanzania Bara. Mafunzo hayo yaliendeshwa katika majengo ya Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mkoani Morogoro na yamemalizika leo baada ya kuwatunuku Vyeti kwa Washiriki 32 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akimtunuku cheti Mkaguzi wa Ubora wa Mazao na Afya ya Mimea Bwana Gervas Mbawala leo mchana tarehe 27 Novemba, 2020 baada ya kufunga maf...

TAKWIMU ZAIPAISHA TANZANIA UCHUMI WA KATI -SERIKALI

Image
    A       Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Anjelina Lutambi (aliyesimama) akitoa ufafanuzi  kwenye mkutano wa uelimishajiwa zoezi la ukusanyaji wa takwimu za mifugo,kilimo na uvuvi katika Kijiji cha  Msikii, Kata ya Muhamo, Mkoani Singida hivi karibuni(Pichana John Mapepele). A.         Bibi Salma Mkumbo akiuliza swali kwa wataalamu kwenye mkutano wa uelimishaji wa zoezi la ukusanyaji wa takwimu za mifugo,kilimo na uvuvi katika Kijiji cha  Msikii, Kata yaMuhamo, Mkoani Singida hivi karibuni (Pichana John Mapepele). A.         Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa (aliyesimama) akitoa ufafanuzi kwenye mkutano wa uelimishaji wa zoezi la ukusanyaji wa takwimu za mifugo,kilimo na uvuvi katika Kijiji cha  Msikii, Kata yaMuhamo, Mkoani Singida hivi karibuni(Pichana John Mapepele) . Meneja Takwimu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mkoa wa Singida, Naing’oya K...
Image
 

BODABODA SINGIDA WATOA TAMKO KALI KUELEKEA KUAPISHWA RAIS DKT JOHN MAGUFULI

Image
  Mwenyekiti wa madereva na wamiliki wa Bajaji na bodaboda Manispaa ya Singida Ahmed Juma akitoa ufafanuzi wa tamko la kulaani vijana wanaotaka kufanya vurugu Dereva wa Bodaboda Manispaa ya Singida Ramadhani Zuberi akitoka ufafanuzi kwa waandishi ambao hawapo pichani kupinga na kulaani maandamano ya vijana ambao wanataka kutumika kuvuruga amani  Sehemu ya madereva wa bodaboda Manispaa ya Singida  John Mapepele na Rose Nyangasa, Singida Wamiliki na Madereva wote wa Bajaji Mkoa wa Singida wametoa tamko rasmi la kulaani baadhi ya vijana ambao wameanza kutumiwa na baadhi ya vyama vya upinzani kuandamana kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, Mwaka huu. Akitoa  tamko  kwa  niaba ya   wanachama 2000 wa  Mkoa wa Singida  kwenye Kituo cha Bajaji Soko Kuu la Mjini Singida, Mwenyekiti wa Madereva na Wamiliki wa Bajaji na Boda boda Manispaa ya Singida, Ahmed Juma amesema  umoja wao umepi...