Posts

Showing posts from May, 2021

WAFANYAKAZI WA BENKI YA I&M WAMETOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA – KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.

Image
W afanyakazi wa Benki ya I&M wakiwa na baadhi ya watoto wa kituo hicho Bi.Anitha Pallangyo, meneja masoko Benki ya I&M wapili kushoto akikabidhi baadhi ya zawadi walizopeleka kwenye kituo hicho cha watoto yatima Timu ya Benki ya I&M leo walipotembelea kituo cha yatima chini ya mpango wao wa kujitolea wa 'IM for You' kushoto ni Bi. Hellen Mbwana, afisa wa benki kitengo cha ukaguzi, Anitha Pallangyo, meneja masoko, Mlekwa Augustine, huduma kwa wateja, Theresia Nguma kitengo cha malipo, fedha na biashara, na Debora mwakyoma afisa masoko na mawasiliano ya benki.  Timu ya wafanyakazi wa I&M walipotembelea kituo cha watoto yatima cha Lady Fatema kilichopo Mjimwema mageti saba, kigamboni Jijini Dar es salaam. DAR ES SALAAM . Wafanyakazi wa Benki ya I&M Tanzania siku ya Jumanne tarehe 11, Mei, 2021, wamejitolea msaada wa vitu mbalimbali kama vile vyakula, nguo, sabuni pamoja na vifaa vya shule katika moja ya kituo cha kulea watoto yatimakiitwacho ‘Lady Fatema’  kil...

WAFANYAKAZI WA BENKI YA I&M WAMETOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA – KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

Image
  Bi.Anitha Pallangyo, Meneja Masoko Benki ya I&M wapili kushoto akikabidhi baadhi ya zawadi walizopeleka kwenye kituo hicho cha watoto yatima Timu ya Benki ya I&M leo walipotembelea kituo cha yatima chini ya mpango wao wa kujitolea wa 'IM for You' kushoto ni Bi. Hellen Mbwana, afisa wa benki kitengo cha ukaguzi, Anitha Pallangyo, meneja masoko, Mlekwa Augustine, huduma kwa wateja, Theresia Nguma kitengo cha malipo, fedha na biashara, na Debora mwakyoma afisa masoko na mawasiliano ya benki. Timu ya wafanyakazi wa I&M walipotembelea kituo cha watoto yatima cha Lady Fatema kilichopo Mjimwema mageti saba, kigamboni Jijini Dar es salaam.                   ............................................. DAR ES SALAAM . Wafanyakazi wa Benki ya I&M Tanzania siku ya Jumanne tarehe 11, Mei, 2021, wamejitolea msaada wa vitu mbalimbali kama vile Vyakula, Nguo, Sabuni pamoja na vifaa vya Shule katika moja ya Kituo cha kulea watoto yati...